Inafungua ukurasa...
ELIMU KWANZA: Maudhui yote ni kwa madhumuni ya kujifunza pekee na si ushauri wa kifedha.
Zana za Kila Siku

Trading Tools & Calculators

Tumia zana hizi kabla ya kufungua trade yoyote. Nidhamu ya mahesabu ndiyo inayotenganisha trader wa kubahatisha na mtaalamu.

Position Size & Risk Calculator

Kokotoa ukubwa sahihi wa lot kulingana na asilimia ya mtaji uliyo tayari kuhatarisha.

Matokeo ya Mahesabu

Standard Lots (1.00) 0.05
Mini Lots (0.10)
0.50
Micro Lots (0.01)
5.00
Kiasi cha Pesa Hatari (Risk Amount): $15.00

Mfano: Ukipoteza trade hii, akaunti yako itabaki na $985.00. Bado uko mchezoni!