Inafungua ukurasa...
ELIMU KWANZA: Maudhui yote ni kwa madhumuni ya kujifunza pekee na si ushauri wa kifedha.
πŸ‡ΉπŸ‡Ώ πŸ‡°πŸ‡ͺ πŸ‡ΊπŸ‡¬ Jukwaa la Kwanza la Zana & Elimu ya Forex kwa Kiswahili

Jifunze Forex Kwa Uhalisia. Tumia Zana Sahihi Kila Siku.

Hakuna ahadi za utajiri wa haraka wala signals za uongo. Hapa unapata calculators za risk management, kalenda ya habari kwa Kiswahili, makala za mbinu safi, memes za kukuondolea stress, na ofa bora za brokers kwa uwazi.

100%
Zana za Bure Kila Siku
1-2%
Kanuni ya Risk Tunayofundisha
EAT
Muda wa Afrika Mashariki
Zana ya Haraka

Quick Lot Size Calculator

Lot Size Sahihi:
0.02 Lots
Pesa Hatari (Risk):
$5.00

πŸ’‘ Kidokezo: Usibadilishe lot size kwa hisia; acha hesabu ikuamulie kabla hujaingia sokoni.

Chati ya kujifunzia

Soma mwenendo. Linda mtaji.

Mchoro huu ni mfano wa mwenendo wa bei tuβ€”si data ya soko la moja kwa moja wala pendekezo la kununua au kuuza.

Muundo wa mfano SIO BEI LIVE
Mwanzo Muundo wa mfano β€’ si soko live Sasa

Saa za Masoko (Trading Sessions - EAT)

Jua ni soko lipi liko wazi sasa hivi na muda gani liquidity huwa juu zaidi.

London + NY Overlap: 15:00 – 19:00 EAT
πŸ˜‚ Meme ya Wiki

"Niliweka Stop Loss pips 15. Soko likaja likaigusa kwa pip 0.5 halafu likaenda TP yangu ya pips 120..."

πŸ“‰ Wick ya Broker au Liquidity Sweep? πŸ˜‚
Somo: Weka SL nje ya muundo (Structure)
πŸ“š Somo Muhimu

Kwanini 90% ya Wanaoanza Hupoteza Mtaji Ndani ya Siku 90?

Sio kwa sababu hawajui kuchora support na resistance, bali ni kutokana na over-leveraging, kukosa stop loss, na kuingia sokoni kwa FOMO baada ya kuona screenshots za faida.

Dakika 4 kusoma β€’ Risk Management
🎁 Deals & Perks

Chagua Broker Sahihi + Pata Bonus ya Kielimu

Tumekulinganishia brokers wanaokubali M-Pesa, Tigo Pesa na Crypto, wenye spreads ndogo na regulation imara. Ukijiunga kupitia link zetu unapata mwongozo wa bure wa Risk & Journal.

Uwazi wa Affiliate 100%